Darasa la Mapenzi. Wewe Josna! Mikopo asubuhi asubuhi hamna kwakweli mtadhalilisha hizo suti zenu aliongea Bite kwa utani huku akiwafata walipo wawili hao, funga biashara tunaondoka na ukithubutu kupiga kelele au kukimbia nasambaratisha ubongo wako nadhani hujawahi kufikiria kifo cha namna hiyo,hivyo basi fanya kama unavyoagizwa aliambiwa Bite na wale wanaume huku mmoja akifunua koti lake jeusi la suti na kumwonyesha Bite kitu ambacho hakujiuliza mara mbili mbili kuwa ile ilikuwa ni Bunduki,kwa kuutambua uoga alioupata Bite,yule mwenye bunduki alimbandika kitu mfano wa kishikizo cha nguo na kumwambia hiyo ni. Koh!! Na huyu ni. Hakuweza kumaliziankauli yake wakati huu,mawazo yakauzidi nguvu ubongo wake akazimia palepale.Wakati huo Chriss alikuwa analia tu hgajui kinachoendelea,Eve na Benny walikuwa wanahaha huku na huko bila kukumbuka kwamba alikuwa na shera safi kabisa tena ya gharama za juu kabisa,Benny ndio alikuwa kama tahira hajui hata pa kuanzia alikuwa ameshtuka sana. Nikiwa ndani nikichezea simu yangu nikasikia mtu akiwa anagonga hodi. nyie ni ndugu zake? tuachane na hayo,simu yako inauwezo wa kufungua e-mail?". "Samahani wewe ndio mama yake na Reshmail "Mwalimu Madege aliuliza baada ya Bi. Yaani mtu ameachiwa hewa impige yeye anaenda kuweka usiku tena na manguo yake kijana mmoja aliyekuwa amevaa jinsi kwa staili ya mlegezo aliwaambia wenzake, tulia wewe huenda ni mamake huyo alijibiwa na wenzake. sijambo shkamoo! sauti nyororo ya mwanadada wa mapokezi aliyehusika na masuala ya Booking aliwaeleza mwanaume mmoja aliyekuwa na mpenzi wake wakitegemea kusafiri muda mfupi ujao kwenda Mwanza. haya yupo tumemuhifadhi na tumepeleka taarifa kwenye vyommbo vya habari wataanza kutangaza kama mama yake bahati mbaya haya atakuja kumchukua na kama amemtelekeza akajiandae kwenda kuishi kwa watoto yatima sisi hatuna uwezo wa kuhifadhi watu hapa zaidi ya mahabusu alijieleza askari yule huku akijipepea joto kwa kutumia kofia yake iliyochakaa, Majuma mawili yalipita bila mama wala ndugu wa motto kupatikana licha ya kituo cha redio maarufu mjini iringa cha Ebon fm kutangaza kila siku bila kukoma, eve naenda kumchukua yule motto nafsi yangu inanishauri hivyo na ni lazima nifate ambacho nafsi yangu inaniamuru Reshmail alimwambia Eve siku moja wakiwa wamekaa sebuleni wakiangalia habari katika luninga.Eve alikuwa amejenga tabia ya kutobishana na rafki yake huyo kwani furaha yake ilikuwa ni kumwona Reshmail akiwa na furaha tele, lakini Resh,mama yake si atamtafuta ssana? Zaidi ya asilimia 50 ya wananchi wenye hasira eneo lile wakageuza vichwa vyao kuangalia kazi ya Mungu ilivyotendeka vyema katika mwili wa Reshmail,badala ya kumpigia kelele dereva,miluzi mikali ikiongozwa na dereva mkongwe wa teksi eneo lile ndugu Sanya Bonda ikahamia kwa Reshmail,Resh akajifanya kama hasikii vile "Ilikuwa haki ya dereva kupotea njia jamani" Bonda alisema kwa sauti ya juu na kugeuza hasira za watu kuwa vicheko. Mambo yote yamekwenda sawa, ila tu kwa . WAANDISHI WA SIMULIZI Sefu hakufanya ajizi,,alimlaza Walda sakafuni na kumwingiza Dudu washa lililokuwa likimkuna kama mtu mzima ambapo Walda alibakia akiweweseka kimahaba,,,aaaaah,,,,seeeeef,, Tangu niondoke ghafla niliacha sijalipa kodi nina uhakika chumba sio changu tena kwa hiyo pa kwenda hatujui Bite alimweleza hayo mama wawili baada ya kuwa amemsogeza pembeni ili mtu mwingine asiweze kusikia, ondoa shaka Bite miim kwangu pana nyumba kubwa tu!! MWALIMU WA KISWAHILI SIMULIZI FUPI - RITA Alikuwa ni rita niliyempenda zaidi pale kazini kwetu , kazi yake sikujua ni nini haswa , lakini nilimwona mara kwa mara akip Read more NILIPONZWA NA HURUMA YANGU SIMULIZI ZA KICHAWI PAGE 1; SIMULIZI ZA KICHAWI PAGE 2 . Reshmail Mtoto wa mwisho na pekee wa kike kati ya watoto wanne wa mbunge wa jimbo la Kinondoni Mheshimiwa Msuruli Haruna,hakupata kujua shida katika maisha yake na urembo aliojaliwa pia hakuufaham kwa sababu hakuwepo wa kumwambia kuwa yeye ni mrembo,kuta na fensi ya sen'gen'ge iliyozunguka mji wao haikumruhusu kutoka nje hovyo hovyo,tofauti na siku ya kwenda msikitini Resh alilazimika kusubiri hadi alipofikisha miaka kumi na nne alipojiunga na kidato cha kwanza katika shule ya st.marry's international ndio alipata wasaa wa kujumuika na wananch wengne wa Tanzania na nchi za jirani,elimu yote ya darasa la kwanza hadi la saba aliipatia katika jumba la kifahari la baba yake.
Used Rs Aero For Sale,
Lincoln National Forest Hot Springs,
Tns Recovery Complex After Microneedling,
Charlie Hawkins Obituary,
Articles S
crosby, mn police officers
6 times what equals 1000
christie's staff directory